NMB MasterCard ni kadi mpya ya benki ya NMB itakayomwezesha mteja kupata fedha zake wakati wowote na mahali popote duniani penye nembo ya MasterCard. Unaweza pia kutumia kadi yako kufanya manunuzi ya bidhaa na kulipia huduma popote penye nembo ya MasterCard.

Kupata kadi ya NMB MasterCard tembelea tawi letu lililo karibu yako


NMB MasterCard is a new NMB card that allows NMB customers to access their funds at anytime, anywhere MasterCard is accepted including Millions of retailers, ATMs and online Merchants.

To get your NMB MasterCard visit our nearest branchTanzanite

 • Kadi kwa matumizi binafsi
 • Usalama kwa manunuzi ndani na nje ya mtandao kupitia teknolojia ya MasterCard secure code, Chip na Pin
 • Inakubalika kimataifa
 • Huduma ya NMB Mobile
 • Uwezeshaji wa direct funds receipt kupitia huduma ya kutuma fedha ya MasterCard
 • Upatikanaji wa punguzo na Ofa maalum kupitia program ya MasterCard PRICELESS
Jua zaidi

Titanium

 • Personalized Card
 • Global Acceptance
 • NMB Mobile Services
 • Supports direct funds receipt through MasterCard Money Send
 • Special Discounts and Offers through MasterCard PRICELESS program
 • Insurance protection against card fraud

 • Kadi kwa matumizi binafsi
 • Usalama kwa manunuzi ndani na nje ya mtandao kupitia teknolojia ya Mastercard secure code, Chip na PIN
 • Inakubalika kimataifa
 • Huduma ya NMB Mobile
 • Uwezeshaji wa direct funds receipt kupitia huduma ya kutuma fedha ya MasterCard
 • Upatikanaji wa punguzo na Ofa maalum kupitia program ya MasterCard PRICELESS
 • Bima kwa ulinzi dhidi ya udanganyifu kupitia kadi
Learn more

World

 • Personalized Card
 • Global Acceptance
 • NMB Mobile Services
 • Supports direct funds receipt through MasterCard Money Send
 • Special Discounts and Offers through MasterCard PRICELESS program
 • Insurance protection against card fraud
 • Earn loyalty points upon usage
 • Access to over 500 Airport Lounges
 • Airport Concierge - Airport assistance at a discounted rate
 • Emergency Card Replacement - Lost or stolen cards rapidly replaced anywhere in the world
 • Emergency Cash Advance - Emergency cash made available in one hour
 • Lost/Stolen Card Reporting - You can file a lost or stolen card report and request your card to be canceled and replaced
 • Virtual Payment Concierge - A “card not present” transaction e.g. to pay a hotel bill
Learn more